Video ya SNURA_CHURA YAFUNGIWA KWA KOSA HILI | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Wednesday, May 04, 2016

Video ya SNURA_CHURA YAFUNGIWA KWA KOSA HILI

Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo leo May 04 2016 imetoa kauli ya kuufungia wimbo wa Snura ‘chura’ kuchezwa kwenye MEDIA kuanzia leo mpaka Snura atakapoifanyia marekebisho video ya wimbo huo na kuitoa nyimbo hiyo kwenye mitandao ya kijamii yote.
Serikali imeeleza sababu ya kuufungia imetokana na maudhui ya utengenezaji wa video hiyo, pia serikali imesitisha maonyesho yote ya hadhara ya Snura mpaka atakapokamilisha taratibu za usajili wa kazi zake za sanaa katika baraza la sanaa la taif

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us