Maaaaaajabu!!!!!Mama ajifungua Watoto Mapacha kutoka kwa wanaume wawili tofauti. | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Sunday, June 12, 2016

Maaaaaajabu!!!!!Mama ajifungua Watoto Mapacha kutoka kwa wanaume wawili tofauti.

Katika hali ya kushangaza, madaktari wamebaini kuwa mwanamke mmoja Jijini Hanoi, Vietnam amejifungua watoto mapacha ambapo alipata ujauzito wa pacha hao kutoka kwa wanaume wawili kwa nyakati tofauti.

Kwa mujibu wa CNN, familia ya mapacha hao ilianza kuwatilia shaka watoto hao kutokana na kutofanana kwao kwa kiwango kikubwa kama watoto wa familia mbili tofauti na ndipo ikawalazimu kuwaona wataalam wa afya ya uzazi kwa ufafanuzi zaidi.

Wataalam hao waliwafanyia vipimo vya vina saba (DNA) na kisha kubaini kuwa watoto hao hawakuwa wa baba mmoja.

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us