Maajabu ya Mapacha hawa. Wanashare kila kitu. | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Thursday, June 09, 2016

Maajabu ya Mapacha hawa. Wanashare kila kitu.

Wanaitwa Ayara na Jayara Ratun wana umri wa miaka 41 wamezaliwa Barsirat,Bengala nchini India wana mume mmoja kwa muda wa miaka 22 sasa kwa kuwa wana UKE mmoja tu,miguu mitatu,mikono ndio inawasaidia kutembea,


madaktari wameshawahi kusema ya kuwa wanaweza kuwafanyia upasuaji ili kuwatenganisha lakini wenyewe wamegoma na kusema wanapendelea kuendelea kuwa hivi.Walishawahi kupata mimba na kujifungua ila mtoto ni bahati mbaya kwa kuwa alipata wakati mgumu wakati wa kuzaliwa ila bado wana ndoto ya kupata mtoto mwengine.

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us