RICH MAVOKO AONGEA HAYA KWA MARA YA KWANZA TANGU AJIUNGE NA LABEL YA WCB | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Thursday, June 09, 2016

RICH MAVOKO AONGEA HAYA KWA MARA YA KWANZA TANGU AJIUNGE NA LABEL YA WCB

Mkali wa Bongo Fleva, Rich Mavoko ambae amesain mkataba na WCB-WASAFI hivi karibuni na sasa ngoma zake zote zitatoka chini ya lebo hiyo na kusema kuwa wasani wanaweza kufanya kazi pamoja na kuufikisha muziki wa Bongo sehemu fulani.

‘’Nimependa sana nilivyosaini na inaonekana kabisa vijana tunaweza kufanya kazi pamoja na kufanya muziki wetu kufika sehemu fulani, unajua nilipoletewa jambo hili kwa mtu mwenye upeo mdogo anaweza kusema tunaenda kufanya kitu kibaya au naenda kuwa chini ya mtu,yalikuja maneno mengi sana yaliyoongelewa kwangu lakini naangalia biashara na mwisho wa siku kila mtu aingize kipato’’ Alisema Mavoko.

Cloudsfm

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us