Watumishi 11 wa serikali Watumbuliwa kwa kuwa na Vyeti Feki Vya Kidato cha Nne.mkoani Mbeya. | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Sunday, June 05, 2016

Watumishi 11 wa serikali Watumbuliwa kwa kuwa na Vyeti Feki Vya Kidato cha Nne.mkoani Mbeya.


Watumishi 11 mkoani wa idara ya afya mkoani Mbeya wamesimamishwa kazi baada ya kukutwa na kosa la kughushi vyeti vya kidato cha nne hilo limefanyika baada ya zoezi la kuhakikisha vyeti kwa kushirikiana na baraza la mitihani NECTA ikiwa ni mwitikio wa agizo alilotoa rais John Magufuli.

Amesema waliwakilisha vyeti vingi NECTA na hivyo 11 ndio vikabainika vilikuwa vya kughushi ambao karibia wote ni wanawake Tazama Hapa:

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us