BREAKING NEWS: SERIKALI YASITISHA FEDHA YA FIELD KUTOKANA NAKUWEPO KWA WANAFUNZI HEWA VYUONI. | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Tuesday, July 19, 2016

BREAKING NEWS: SERIKALI YASITISHA FEDHA YA FIELD KUTOKANA NAKUWEPO KWA WANAFUNZI HEWA VYUONI.

Waziri wa elimu Mh.Joyce Ndalichako alitolea ufafanuzi kuhusu swala la wanafunzi wanaoenda field amesema kwamba,wameamua kusitisha zoezi la kutoa pesa za field kwa sababu inaaminika wanafunzi wengi bado ni hewa.

Tamko hili limetolewa leo,wakati zikiwa zimebaki siku 4 kwa wanafunzi hao kuripoti ktk vituo vyao vya field.

Uhalisia uliopo hali ya kifedha kwa wanafunzi hao kwa sasa ni mbaya sana hivyo kuna uwezekano wanafunzi hao wakachelewa kuripoti na kuwaathiri masomo yao.
 ANGALIA VIDEO HAPO CHINI
 
BONYEZA HAPA KUONA MAJINA YA WANAFUNZI WA SPECIAL DIPLOMA UDOM WALIOPANGIWA KURUDI VYUO MBALIMBALI VYA UALIMU IKIWENO BUTIMBA NK.PIA ANGALIA MAJINA YA WANAFUNZI WASIO NA SIFA 2016>>>>>>>PDF

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us