ENDELEA NA SEHEMU YA NNE UTAMU WA CHUMBA CHA SHEMEJI CONTAIN 4EPISODE ======>>>SEHEMU YA 4 | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Monday, July 25, 2016

ENDELEA NA SEHEMU YA NNE UTAMU WA CHUMBA CHA SHEMEJI CONTAIN 4EPISODE ======>>>SEHEMU YA 4

MTUNZI IZZOCHAPA
UTAMU WA CHUMBA CHA SHEMEJI
MASAMBAZAJI DIMAS MWASILE


episode 1 seheme ya nne
"Kaka ondoa gari,,
Nilitoa gari bila kuuliza chochote fastaa ila nilipoingia barabarani nikamhoji,
"Kuna nini dada?, "kuna watu wanataka kuniteka,
"Kwanini wakuteke?
"Ni habari ndefu kaka yangu,,
Nikiwa naongea na huyo dada gafla alitoa bastora na kunisoteshea usoni,,
"Uko chini ya ulinzi,,
"Haa yamekuwa hayo tena?.
"Fanya nitakachokuamuru,,
"Sawa, ila kosa langu ni nini?.
"Twende wewe usipite ubungo ingilia hapo njia ya chuo moja kwa moja mpaka tegeta kibaoni,
"Sawa,
Nilifuata kila nilichoambiwa kwani mdomo wa bastora ulikuwa ukiniangalia mimi,,
*mungu wangu hiki nini sasa?
Niliwaza ila sikupata jibu nifanye nini,



Niliongoza bila ubishi mpaka maeneo ya tegeta kabla hatujafika senta akaniamuru kuingia kushoto na mimi nikafuata bila ubishi,
"Ingia kwenye lile geti moja kwa moja,,
"Sawa,,
Alipiga simu kabla hatujafika getini geti likafunguliwa na mimi moja kwa moja nikaiingiza gari ndani,,..

Nilipoingia kwenye hilo jumba la kifahari nilikutana na vijana wamejazia vifua mikono imejaa utafikili imeumuliwa na amira,

"Paki pale mbele,,
Nilitii bila ubishi nikapaki,
"Shuka kwenye gari,,
Nilishuka bila ubishi pia,,
"Nifuate,,
Nilitii nikamfuata bila kupinga ili nijue nini kinachoendelea huko ndani,,
Tulipofika ndani nilishanga kumkuta mdada mmoja mzuri ila mkononi alikuwa ameshikilia bastora huku machozi yakimtoka toka nilisitaajabu kwa hilo,,
"Izzo kaa pale,,
Yule dada niliyemkuta aliongea kwa kunifokea,,
Nilikaa bila ubishi,,
"Izzo nahitaji kujibiwa kwa kila nitakachokuuliza,,
"Sawa kama utakachoniuliza nitakuwa nakifahamu?.
"Niambie unamjua vipi Monalisa?
"Monalisa yupi?.
"Inamaana hilo jina ni geni kwako?.
"Sio geni ila nashindwa kuelewa ni yupi monalisa unayeniuliza?,
"Unawajua Monalisa wangapi?.
"Wawili,
"Wa kwanza?.
"Ni mfanyakazi pale TBC,
"Wa pili?.
"Ni mdada tuliyekutana wakati nasoma form four,
"Huyo ndio ninayemhitaji,,
"Sijui alipo tulipoteana miaka saba iliyopita,,
"Sikia huyo dada namhitaji mzima au maiti,,
"Nitamtoa wapi sasa?.
"Yuko India kimatibabu namhitaji kwa njia yoyote ile,,
"Sasa nitampata vipi?.
"Nitakuagiza kumfuata,
"Nitamleta vipi ili hali ni mgonjwa?.
"Kuna kitu nahitaji kutoka kwake,,
"Kitu gani?.






episode 2  seheme ya nne
"Ana kitu shingoni kavaa kama urembo ni kipembe cha ng'ombe nazani unakikumbuka vizuri sana,,
"Hicho kipembe nakikumbuka sana ila sijaona udhamani wake,
"Udhamani wake uko kwangu kile ni kipembe ambacho kina historia kubwa kwangu kina dhamani ya historia yangu,
"Sawa, "passport yako hii hapa na visal na tiketi hiyo hapo ndege inaondoka leo mchana utaambatana na sharifa katika kazi hiyo,
"Sawa, ila inabidi kwenda kuaga familia yangu?,
"Una familia wewe?
"Ndio nina mke,
"Nitakuagia na matumizi nitampelekea,,
"Mtapajuaje kwangu?,
"Kwani passport yako ya kusafilia tuliitoa wapi?.
Hapo nilikaa kimya kwani sikuwa na usemi nilijiuliza kama waliweza kupata passport yangu ina maana ni watu hatari sana hawa hawaitaji mchezo,,
"Izzo tukuagie yule uliyemuweka ndani jana au wote watatu?.
Nilishangazwa na usemi ule kwani watu hawa walionekana kunijua sana na maisha yangu walionekana kuyajuwa kiundani,
"Niagieni kwa wote,,
"Sawa, haya subiri safari,,
"Ila ningeomba hata dk30 za kumuaga mke wangu bado mgeni kwangu yule,,

Kuna jamaa alikuwa pembeni akamwambia yule dada,
"Muache akamuage haina shida,
"Kwa hiyo tumruhusu aende peke yake?
"Ndio,
"Haya nenda tunakupa masaa mawili tukikupigia simu sisi utajuta kuzaliwa wewe ndie wa kututafuta,,
"Sawa nitajitahidi kwenda na mda,,
"Sawa nenda,,

Niliondoka ila niliwaza mengi sana kuhusu hawa watu,
Najuwa wamenitumia kwa kuwa wanajuwa mimi Monalisa tulikuwa marafiki sana enzi zile tunasoma,,
*acha nitekeleze kazi yao sihitaji matatizo na mtu*
Nilifika kwangu nikakuta Shamsa anapika chakula cha mchana,,
"Habari ya mida mpenzi wangu,,
"Nzuri za kazi?
"Za kazi ni njema ila njoo mara moja chumbani,,
Shamsa alinifuata chumbani,
"Mpenzi wangu mimi ninasafiri mara moja nakwenda India kikazi,
"Itakuwa lini wiki hii?
"Ni leo na ni mda huu,,
"Izzochapa acha kuniongopea,
Shamsa aliona kama masihara nikamtolea passpot yangu nikampa akaangalia visal hapo ndipo akaamini akatoa macho ya mshangao na machozi yakamtoka,,
"Usilie mke wangu ni safari ya kikazi tu,,
"Izzo utaniacha mpweke mimi,,
Shamsa aliangua kilio nikamfuta machozi nikamlaza kitandani nikampa denda ili kumuaga kwani hata mapenzi nilikuwa sijafanya naye,,
Nilimvua nguo zote na mimi nikavua nikamalaza nikampiga stairi ya kifo cha mende kwani hakuna aliyekuwa na furaha,,
"Izzochapa niko kwenye siku hatari za kudaka mimba,
"Haina shida hupendi tupate mtoto?.
"Napenda,
Nilimlalia juu nikaingiza msumari kwenye tundu la utamu na burudani ya kwanza duniani,
Nilifurahi dk45 ndani ya kisima cha burudani,,
Niliangalia saa zilikuwa zimebaki dk48 kumaliza masaa mawili niliyopewa,
Nilichukua simu yangu nikampigia simu yule dada kwani alikuwa amenipa namba yake,
"Hallow dada,
"Mh!! Unasemaje?.
"Natangulia air port,
"Sawa mwenzio atakukuta,,
"Sawa,,

Nilitoa mil.1 nikampa Shamsa za matumizi,
"Ile pesa bado ninayo izzo,,
"Ongezea na hiyo safari ni kifo haitabiliki,,
"Sawa,,
Alipokea pesa na mimi nikaondoka na simu nikazima,
Nilichukua piki piki mpaka air port nilipofika nilimkuta yule binti yuko pale air port ananisubili,,
"Vipi mda tayari?.
"Ndio,,
"Haya twende, "shika kamfuko haka,,
Nilikachukua tukapita mpaka ndani tukaenda mpaka ofisi ya ndege tunayoondoka wakafanya yao kisha tukarudishiwa tiketi tukaelekea sehemu ya kugonga passpot baada ya hapo tukaelekea upande wa juu kusubiri kuingia kwenye ndege ghafla nikaona askari zaidi ya kumi wakitufuata,,
************itaendelea************





episode 3 seheme ya nne
Gafla niliona askari zaidi ya kumi wakitufuata nyuma nilikosa amani moyoni japo sikujua kama wanatufuata sisi ila mapigo yangu ya moyo yalikwenda mbio nilijuwa kuna ishara mbaya mbele yangu nilimuangalia yule dada niliyekuwa naye ila yeye hakuonesha kuwa na wasi wasi wowote hali hiyo ilifanya na mimi kujiami japo kwa asilimia 50% nilizidi kupiga hatua ila nilivyozidi kupiga hatua ndivyo wale maaskari nao walizidi kupiga hatua ya kutufuata nyuma hapo asilimia za kujiamiani zilishuka na kubaki 40% niligeuka nyuma nikakutana na kidole kikitunyooshea mimi na yule msichana,,

         MONALISA
tujikumbushe monalisa ni nani?,
Monalisa mara ya kwanza tulikutana akiwa anasoma kidato cha kwanza katika shule ya kambangwa iliyopo kinondoni karibu na mahakama,
Shule hiyo ilikuwa day ya kwenda na kurudi hakukuwa na boding ila baadhi ya wanafunzi tulkkuwa wajanja wa kupanga vyumba karibu na shule yetu vilevile tulisoma mchanganyiko wavulana na wasichana Monalisa alikuwa ni binti mzuri sana alikuwa ni mpole asiyekuwa na makuu kwa mara ya kwanza kumuona nilipenda kuwa karibu naye ila haikuwa rahisi kwa kuwa nilikuwa njuka hapo school (form one),
Baada miezi mitatu kupita vijana wengi walionesha kumtaka kimapenzi nikiwemo na mimi,,
Vijana wa form three walimzonga sana ili kupata penzi lake mimi nilikuwa sikai mbali na anapokuwa Monalisa nilikaa karibu sana ila sikuwa naongea naye zaidi ya salam tu,
Siku hiyo ilikuwa ni saa mbili wanafunzi wako assemble yani mstarini upande wa wasichana ulikuwa juu karibu na store ya shule wakati huo mimi ndiye nilikuwa kiongozi wa store zote za shule kwa mida ya saa mbili nilikuwa naenda kukaa store ili kumuangalia Monalisa akienda mstarini na kutoka mstarini,
Siku hiyo nikiwa nasubili atoke mstarini nilishangaa alipotoka alikamatwa na vijana wanne walimziba mdomo nakumbeba juu juu wakaelekea kwenye madarasa yaliyokuwa mabovu ili kumbaka,
Sikuchelewa nilitoka mbio kuelekea huko ili kumsaidia mtoto wa kike nilifika nikakuta wamemvua nguo zote wamemlaza chini wanataka kumuingilia kwa nguvu,
Nilibeba tofari ya kuchoma nikampiga mmoja ya mogongo na mwingine nikampiga la mguu wote walikimbia bila hata kugeuka nyuma,,
Monalisa naye alitoka mbio bila kugeuka nyuma,

Baada ya hapo na mimi nlikwenda zangu mstarini,
Kesho yake taarifa za kutaka kubakwa Monalisa zilikuwa zimezagaa kwa walimu wote na mwalimu wa nithamu alitutangazia tukio hilo asubuhi kabla ya kuingia darasani,,
"Jana limetokea tukio baya kabisa katika shule yetu, kuna vijana walitaka kumbaka Monalisa ila alitokea kijana mmoja akamsaidia sasa naomba huyo kijana aje hapa mbele ili tumpongeze kwa kwa ushujaa wake,
Nilifikilia kutoka ila ikashindikana kwani nilijua kujulikana kwangu huenda itaniletea taabu mimi kwa watuhumiwa,,

Miaka ilikatika nikizidi kumsaidia Monalisa matatizo mbali mbali bila ya yeye kujuwa chochote,,
Tulipofika kidato cha nne Monalisa aliweza kubaini kuwa mimi ndie msaada kwake kwani siku moja ikiwa ni wikiend mishale ya saa sita mchana tulivamiwa shuleni na majambazi ila cha kushangaza majambazi wale walimteka Monalisa tu katika shule nzima,
Tukio zima nililisoma na niliweza kubaini msaliti aliyewapa mchoro majambazi kuwa ni lily rafiki wa karibu wa Monalisa nilishuhudia akipewa pesa kisha akawaelekeza darasa alilomo Monalisa,
Lily baada ya kutoa maelekezo alienda kujibana kwenye darasa ambalo lilikuwa halijakamilika nilipoona hivyo nilienda store nikachukua baruti tulizokuwa tumeandaa kwa ajiri ya kusherekea kwa kufungulia maabara mpya shuleni kwetu,

Nilichukua baruti nikaenda kuziegesha kwenye geti na kwenye gari yao nilipomaliza nikamfuata lily alipoenda kujificha niliziba uso na kitambaa ili asinione nilinyata mpaka kwenye jumba nilipochungulia nilimuona akiwa amekaa kwenye tofari nilimnyatia nikamkamata shingo tulia hivyo hivyo ukitikisika nakuuwa,,
Niliweka sawa simu yangu kwa ajiri ya kurekodi maneno nilimfunga kitambaa usoni nikamfunga na mikono nikaanza kumhoji,
Wale majambazi wanataka nini?
"Wanataka kale kapembe alikovaa Monalisa shingoni,
"Ka nini kale kapembe?
"Sijui mimi waliniambia niwafanyie mpango wa kuwaelekeza tu namna ya kumpata Monalisa,,
"Kwanini umemsaliti Monalisa?.
"Walinipa pesa,,
Nikiwa naendelea kumhoji mwili wangu ulisisimuka kimahaba nikakuta nahitaji kutoa kitu mwili maeneo ya chini yalikuwa yameumuka utazani amila nikaona nisipoteze bahati acha nile mzigo ndipo nikatoe msaada,
Nilivua pensi langu nikamvua sketi lily nikamlaza chini huku akiwa bado na kamba mkononi,
"Unataka kunifanyia nini?, usinibake nihurumie nlitaka kumzalilisha tu lkn nkavutiwa nae kutaka kumbaka nikakumbuka wajibu wangu nikamvua ngio zen nikamuamuru akimbie ndio urafiki na monalisa ukakuua
anamaliza kuwaza na kuta polis siwaon ivyo tukaenda na mambo yetu na tukafanya yetu
asubuhi napigiwa simu na zaina njoo haraka niliondoka hata bila kumuaga monalisa na fika tuuu



MIMATZ 

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us