Gwajima: Makamba ni mlevi na Usukumani wanaume hatujibu walevi | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Monday, July 25, 2016

Gwajima: Makamba ni mlevi na Usukumani wanaume hatujibu walevi

Hayo yamesemwa na Mch. Matata sana kwenye Anga za kisiasa hapa nchini. Ambaye amekuwa ni gumzo sana nchini kwa kuongea anachoamin pasipo kupindisha pindisha maneno. 

Amesema kuwa kwao kule Usukumani huwa hawahangaiki kujibizana na walevi,kimaanisha kuwa kule ni wazee wa kazi wanaume hawawezi hangaika kujibu walevi. Hayo yamesemwa na Mchungaji huyo kwa minajiri ya kuachana na hoja za makamba.

sourceJAMII FORUM

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us