Keisha kuhitimu shahada ya ununuzi na ugavi Disemba katika chuo cha CBE | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Thursday, July 14, 2016

Keisha kuhitimu shahada ya ununuzi na ugavi Disemba katika chuo cha CBE

 Mwanamuziki Keisha baada ya kubanwa na masomo kwa muda mrefu hali ambayo ilimfanya apate muda mchache wa kufanya muziki, hatimaye anatarajia kumaliza masomo yake mwezi Disemba mwaka huu.

Muimbaji huyo mapema mwaka jana aliambia Bongo5 kuwa yupo mwaka wa pili katika chuo cha CBE na anachukuwa shahada ya ununuzi na ugavi (Bachelor Degree in Procurement and Supplies Management).

Keisha ambaye ni mama wa watoto wawili, Jumatano hii amepost picha ya kitambulisho chake cha chuo na kuandika: Veryyyyy soon inshaAllah




google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us