Mbowe: Alichokisema Lissu Kuhusu Dikteta Uchwara ni Kauli ya CHADEMA | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Friday, July 01, 2016

Mbowe: Alichokisema Lissu Kuhusu Dikteta Uchwara ni Kauli ya CHADEMA


Hayo yamesemwa leo na Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe mara baada ya Wakili msomi wa CHADEMA Tundu Lissu kupata dhamana. (amezungumza na wandishi wa Habari)

Freeman Mbowe amesema kauli hiyo niyawapenda demokrasia wote Tanzania na nikauli ya CHADEMA kwa hiyo chama kitakua kila hatua kwenye kesi hiyo.....

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us