NJIA YA MWANAMKE YA KUPUNGUZA UNENE WA TUMBO NA KUWA FLATI KABISA | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Sunday, July 10, 2016

NJIA YA MWANAMKE YA KUPUNGUZA UNENE WA TUMBO NA KUWA FLATI KABISA

Tumia salad yenye mchanganyiko wa nyanya, pilipili. Chkula chenye protini nyingi kinasaidia kuondoa njaa hivyo kupunguza mafuta mwilini. 
 LEO NI MAZOEZI YA YOGA. 
Leo tunaendelea na mfululizo wa mazoezi ambayo yatakufanya wewe mwanadada uongeze urembo wako kwa kuondokana na tumbo kubwa lililojaa nyama-uzembe na mafuta ili uwe na tumbo flat. 


Haina haja ya kutumia makemikali ambayo yatakuletea madhara hapo baadaye. 



Unachotakiwa kufanya ni mazoezi tu na kuzingatia maelekezo ili uyafanye mazoezi hayo kwa ustadi wa hali ya juu. unatakiwa kufanya mazoezi ya yoga. 


Mazoezi haya yatakusaidia kupata pumzi na kuimarisha misuli yako huku ukiondoa kiasi kikubwa cha mafuta mwili. 
Kula chakula chenye protini 
   

 
  Salad hiyo unaweza kuichanganya pia na matango.
chanzo: jumamtanda

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us