‘Gigy Money’ ‘ Nipo tayari kucheza picha za ngono endapo nitapewa mshiko wa maana‘. | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Monday, March 28, 2016

‘Gigy Money’ ‘ Nipo tayari kucheza picha za ngono endapo nitapewa mshiko wa maana‘.

IMG-20151128-WA0016
Muuza nyago kwenye video za wasanii wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’.

 Video Queen na msanii wa filamu Bongo, Gift Stanford ‘Gigy Money’ ameweka wazi kuwa yupo tayari kucheza picha za ngono endapo atapata mshiko wa maana.

Akistorisha na paparazi, Gigy alisema kwa kuwa anatafuta fedha ya kubadili maisha yake, anaweza kufanya tendo hilo kwa sababu anahitaji kuishi kitajiri zaidi kwani maisha ni matamu sana ila ni mafupi kwahiyo haoni sababu ya kutokujiachia.
Aliendelea kusema kuwa amewahi kufuatwa na watu mbalimbali kutoka Dubai wakimtaka kwenda kucheza filamu hizo, lakini alikataa kutokana na fedha walizomtajia kuwa ni kidogo na hakuwa tayari kwa muda huo ila kwasasa niko tiari, njooni tufanye business ila dau liongezeke.
“Yaani nikiambiwa napewa mamilioni nicheze picha hizo nipo tayari maana hapa duniani wanaokula starehe zaidi ni wale wenye fedha sasa nikipewa mamilioni ili nibadili maisha yangu, niko tayari maana nitabadili maisha yangu na nitaishi kitajiri hapo mpaka watu waje kunishtukia nitakuwa nimeshakula bata vya kutosha,” alisema Gigy. Hata hivyo Gigy hakutaja dau kamili la fedha anachohitaji ali acheze picha za ngono.
Gigy Money ni miongoni mwa ma-video Queen chipukizi wanaofanya vizuri katika video za wasanii wa muziki wa kizazi kipya.

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us