SAKATA LA RUSHWA; WABUNGE WATATU WA TANZANIA WAFIKISHWA KIZIMBANI. | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Thursday, March 31, 2016

SAKATA LA RUSHWA; WABUNGE WATATU WA TANZANIA WAFIKISHWA KIZIMBANI.





Pichani kutoka kushoto ni Mbunge wa Mwibala,Mh.Kangi Lugola,Mbunge wa Mvomero Mh.Sadiq Murad pamoja na Mbunge wa jimbo la Lupa Mh.Victor Mwambalaswa
**
Wabunge watatu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,wamefikishwa mahakama ya Kisutu leo kwa tuhuma za rushwa.

Wabunge hao ambao ni wajumbe wa Kamati za kudumu za Bunge wanatuhumiwa kushawishi na kupokea rushwa ya shilingi Milioni 30 toka kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Gairo

Wabunge hao wameachiwa kwa dhamana ya shilingi milioni 5 kila mmoja na kesi itasikilizwa tena April 14


google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us