VIDEO;Dkt.Shein aapishwa kuwa Rais wa zanzibar | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Thursday, March 24, 2016

VIDEO;Dkt.Shein aapishwa kuwa Rais wa zanzibar

Image result for hatimaye shein aapishwa









 Hatimaye Rais wa zanzibar Dkt.Ally mohammed Shein ameapishwa kuwa rais wa awamu ya saba visiwani zanzibar nakuwahakikishia wananchi wa zanzibar kuendelea kuwa mstari wa mbele kulinda na kuitetea amani ya zanzibar.

Pia dkt.Shein akiwaahidi wananchi kutowafumbia macho aliowaita wakorofi ambao wanaoweza kuhatarisha amani ya zanzibar.Sambamba na hayo rais huyo ameahidi kuendelea kushirikiana na Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Rais,Dkt.John Pombe Magufuli katika kufanya kazi ili kuhakikisha maendeleo ya zanzibar na Tanzania kwa ujumla.






 ANGALIA HAPA VIDEO:Rais Shein akila kiapo leo zanzibar.


google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us