Gari Aina ya Toyota Hiace Lililozama Majini Kivuko cha Kigamboni na Kuua Watu Wawili Lapatikana | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Thursday, April 21, 2016

Gari Aina ya Toyota Hiace Lililozama Majini Kivuko cha Kigamboni na Kuua Watu Wawili Lapatikana


Picha likiwa linatolewa majini hii hapa:
Lile Gari Aina ya Toyota Hiace lililozama kwenye bahari kivukoni Kigamboni na kuuwa watu wawili limepatikana na kutolewa majini na wana maji baada ya Jumatano ya April 20 2016 kuzama  ikiwa na watu wa wawili ambao wote walipatikana wakiwa wameshafariki...

Hatimaye kikosi cha ukoaji cha baharini kimefanikiwa kuitoa gari aina ya Hiace ambayo jana ilizama katika bahari ya hindi eneo la Kivukoni na kuua watu wawili.

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us