PICHA 3: Rais Magufuli na Rais Kagame Kigali leo kwenye kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Friday, April 08, 2016

PICHA 3: Rais Magufuli na Rais Kagame Kigali leo kwenye kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari



Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania yupo nchini Rwanda kwenye ziara ambayo ameianza April 6 2016 na pamoja na mazungumzo na mwenyeji wake Rais Paul Kagame, Dr. Magufuli ameshiriki katika kumbukumbu ya Wanyarwanda wote waliofariki kwenye mauaji ya Kimbari.

magu 2
Magu 3
Magu
Picha zote kwa hisani ya Ofisi ya Rais Rwanda.

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us