USIPITWE NA STORI HII KALI YA MAPENZI INAYOITWA>>>TARATIBU MPENZI>>>SEHEMU YA 3 | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Saturday, April 02, 2016

USIPITWE NA STORI HII KALI YA MAPENZI INAYOITWA>>>TARATIBU MPENZI>>>SEHEMU YA 3


 TARATIBU MPENZI-Sehemu ya 3,,,
Mtunzi;Geofrey Malwa
Mawasiliano;0712507115
Kumbe alikuwa ni Nelson,alimbananisha mlinzi kwenye ile kona huku akimkunja shati na kumkandamiza kwenye shingo yake maeneo ya koromeo na kumtolea macho kwa ukali,,
,,,pochi yangu iko wapi?,,,
,,,hii hapa Bosi wangu,,,
Aliongea mlinzi huyo maneno yaliyoambatana na kumkabidhi pochi yake Nelson,akiwa haamini kitendo hicho alimwachia mlinzi na kuanza kuikagua pochi yake,alipoona kila kitu kiko sawa,kiubinadamu aibu ilimshika,lakini hakutaka kuomba radhi,aligeuka na kuondoka kwa hatua za taratibu,,,Bosi na hii ni ya kwako?,,,aliongea hivyo Mlinzi huyo huku akimwonyesha ile bangili ya
dhahabu ambapo Nelson alipoiona alishtuka na kukubali haraka huku akionyesha kumshukuru sana mlinzi,,kichwani mwake Nelson alijua wazi bangili ile ni ya Suzan akaichukua kwa makusudi,,,
Tafrija iliisha salama na kila mmoja alirejea nyumbani kwake,,kwa upande wa Nelson akiwa nyumbani kwake amejilaza kwenye kochi lake aina ya Sofa jeupe huku akiangalia Televisheni,mkono wake mmoja wa kulia aliuweka kifuani huku akiwa ameshikilia ile bangili ya dhahabu,Kumbukumbu zake zilikwenda moja kwa moja kwa Suzan,alikumbuka tukio zima la Tafrija na jinsi alivyofanya mapenzi na Suzan,alibaki akitabasamu huku akiona jambo hilo kama ndoto kwasababu Suzan alikuwa ni binti mzuri aliyejaaliwa mvuto wa hali ya juu.
Siku ile walibadilishana hadi namba za simu ambapo Suzan alimsisitiza Nelson asimpigie simu mpaka yeye ndio amtafute,Nelson akiwa amejilaza kwenye kochi aliiangalia namba ya Suzan kwenye simu yake na kuishia kuiacha kama ilivyo,,,
Kwa upande wa Suzan alikuwa ameshika simu yake kubwa nyeupe,Smart Phone aina ya Galaxy S3,,akiwa makini na kujibu meseji za watu katika mtandao wa WhatsApp,mara ghafla alipigiwa simu na Adrian ambaye alimsevu HUBBY,akatabasamu kisha akapokea simu,,
,,,hallo!,baby,,,
,,,yes,nambie mke wangu mtarajiwa,,,,
,,,nimekumisi kweli mume wangu mtarajiwa,,,,
,,,hata mimi pia,sasa nakuomba tukutane hapa LATEST FASHION,nipo hapa kuna kitu kizuri nimekiona nahisi utakipenda,,,
,,,whaaooh!,,sawa mpenzi wangu nakuja sasa hivi,,,
,,,kitu kingine,,
,,,enhee nakusikiliza mume wangu,,,
,,,si unajua mimi huwa napenda kukuona ukiwa umevaa nini?,,
,,,hilo tu!,,usijali mpenzi wangu,,utaniona nikija,,
Maongezi kati ya mtu na mpenzi wake ambao wanamipango ya kufunga ndoa pamoja,Adrian na Suzan yaliishia hapo huku Suzan akiwa amekubali kwenda alipoitwa na Adrian kwenye duka maarufu lililokuwa linasifika kwa kuleta bidhaa bora za kike,mikoba,nguo,pochi,viatu,urembo,viatu na vitu vyote vinavyomhusu mwanamke,,
Kwa upande wa Suzan alijiandaa vizuri kisha akaanza kutafuta kile kitu ambacho Adrian anapenda kumwona akiwa amekivaa,kitu hicho kilikuwa ni bangili ile ya dhahabu ambayo Nelson ndiyo alikuwa nayo,Suzan aliitafuta na kuwauliza wafanyakazi wa humo ndani ambao huwa wanahusika na usafi wa chumba chake mpaka wakawa kama wamepishana kauli,,,
Akiwa amejifungia mlango humo ndani,alikumbuka lile tukio alilofanya na Nelson kisha akaona ampigie simu ili amwulize kama aliona bangili yake,,,,moyo wake ulisita kwa mara ya kwanza lakini alipowaza kuwa ameambiwa aende nayo akiwa ameivaa alijikuta akimpigia simu Nelson,,,
,,,,hallo Suzan,,,mambo!,,,
,,,,safi tu habari?,,,
,,,,nzuri,naona umenikumbuka!,,
,,,,mmmh,eeh,sasa kuna kitu nataka nikuulize,,,
,,,,niulize tu mrembo wangu,,,
,,,,eti siku ile pale,uliona bangili yangu?,,
,,,ndiyo ninayo,siku ile sikukuona baada ya lile tukio nikashindwa hata kukurudishia,,,
,,,ha!,,nashukuru sana,sasa nitaipataje?,,
,,,lini?,,
,,leo,tena muda huu,,
,,,anhaa,,basi ngoja nikutumie meseji itakayokuelekeza mpaka nyumbani kwangu,nina wageni wengi leo,au vipi?,,
,,,haina shida,utakuwa umenisaidia sana,,,
Basi Nelson kwa upande wake simu ilipokatwa,aliandika meseji haraka na kuituma,kwavile mahali alipokuwa anakaa palikuwa sio rahisi kupotea,alijiamini kuwa Suzan atafika kwa maelekezo aliyompa kwenye meseji,,,,alichokifanya Nelson,aliandaa mazingira mazuri yatakayomshawishi Suzan ili afanye naye tena mapenzi,hakuridhika na ya kule kwenye Tafrija alihitaji kumsugua kitandani kabisa,,
Suzan akiwa na wasiwasi na kile alichofanya na Nelson kinaweza kujirudia tena,roho yake ikasita kwenda peke yake,alipotoka nje alimwambia dereva amwendeshe huku mlango siti iliyosambamba na dereva alikaa mlinzi wake yaani (BODYGUARD),kisha yeye akaketi siti ya nyuma,,,,gari iliwashwa ambapo dereva alipewa maelekezo yote na Suzan kama ilivyoandikwa kwenye meseji,kwa bahati nzuri dereva akawa anaijua mitaa hiyo ikawa rahisi kuelekea huko,,,
Akiwa ameshajiandaa na kujiweka sawa huku akidhamiria lazima amshawishi Suzan mpaka afanye naye tena mapenzi,muungurumo wa gari ulisikika nje ya nyumba yake Nelson ambapo alijua tu atakuwa ni Suzan,akachungulia kupitia dirishani akamwona Suzan akateremka peke yake nba kuja kwenye mlango wake,,,
Ngo,ngo,ngo!,,hodiii,,alisikika akibisha hodi Suzan ambapo Nelson alijilaza kwenye kochi haraka kama mwanzoni kisha akajibu,,pita tu mlango haujafungwa,,,basi Suzan aliingia ndani ambapo alikuwa amevalia gauni laini la bluu,lenye matirio ya kuvutika,,,chini alivalia viatu virefu vlivyompendesha zaidi huku nywele zake ndefu za asili akizibania kwa nyuma,,,
Whaooo!,,aliongea Nelson huku akiinuka kwenye kochi na kumkumbatia Suzan ambaye alikubali kukumbatiwa,wakatia anamkumbati aNelson alipeleka midomo yake na kumbusu kwenye shingo Suzan aliyebaki akitabasamu,,,,Suzan akwa kama anataka kujitoa kwenye mwili wa Nelson ambapo Nelson hakuonyesha dalili ya kumwachia,walikumbatiana huku wakiwa wanaangaliana,,,
,,,,,jamani siamini kama umefika!,,,
,,,,,nimefika,ila huku mbali,,,
,,,,,usijali,pole,,,
,,,,,ahsante,,
Wakati wakiwa wanaendeleza Maongezi hayo mikono ya Nelson tayari ikawa imeshafika kwenye makalio laini ya Suzan yaliyokuwa kwenye gauni nyepesi na kuanza kuyashikashika,,,nooo,Nelson usifanye hivyo jamani,,,,aliongea Suzan huku akitaka kama kujitoa kwenye mwili wa Nelson ambaye alikuwa kama bubu Fulani,,,,hakuacha kufanya hivyo aliendelea kuyashikashika makalio ya Suzan huku mkono wake akiuingiza kwenye mstari wa ikweta na kuendelea kuyashikashika makalio hayo,,,mmmh,,,Nelson mchezo hatari huo,,,basi Nelson hakusikia akawa kama ameziba masikio,
Nelson akamsogezea mdomo wake akiimba ulimi ambapo Suzan alikataa mwanzoni,lakini Nelson alitumia nguvu kumlazimisha denda mpaka Suzan akafungua mdomo mwenyewe na kuruhusu ulimi wake kunyonywa,,,,,Itaendelea

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us