Kesi ya Aliyemtukana Rais Magufuli facebook Kuanza Kusikilizwa Mfululizo Kuanzia Leo | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Wednesday, June 08, 2016

Kesi ya Aliyemtukana Rais Magufuli facebook Kuanza Kusikilizwa Mfululizo Kuanzia Leo


Kesi inayomkabili Isaac Abakuk ambaye anatuhumiwa kumtukana Rais John Magufuli kwenye ukurasa wake wa facebook jana June 07 2016 ilishindwa kuendelea kutokana na upande wa Jamhuri kutokamilisha ushahidi na kuiomba Mahakama kuahirisha shauri hilo hadi  leo June 08 2016.

Hakimu anayesikiliza kesi hiyo Augustine Rwezire wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha alikubali ombi hilo na kuahirisha kesi hiyo ambapo inatarajiwa kuanza kusikilizwa mfululizo. Mshtakiwa anaendelea kuwa nje kwa dhamana kusubiri kesi yake itakapotajwa.

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us