Nisha awahofia wakware kwa mwanaye | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Wednesday, June 08, 2016

Nisha awahofia wakware kwa mwanaye



MSANII anayefanya vizuri katika filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amefungukia hofu aliyonayo kwa mwanaye, Ipsium kutokana na wanaume wakware kuzidi kuongezeka kila siku.

 Nisha alisema hata akiwa na ‘boyfriend’ wake, huwa hapendi amzoee mwanaye huyo, kwani anamlea katika maadili ya kidini zaidi na anamshukuru Mungu anazingatia vile anavyotaka.

“Mwanangu yuko darasa la saba na analala shuleni lakini wakifunga, huwa anarudi nyumbani hivyo kwa kuwa nasafiri mara nyingi, huwa nawapeleka yeye na dada wa kazi kwa mama yangu ili kuepusha wanaume wakware wasiniharibie mwanangu maana nina hofu sana na wanaume wakware,” alisema Nisha.

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us