Picha: Naibu Spika, wabunge wakicheza mziki kwenye show ya Lady Jaydee Dodoma | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Monday, June 06, 2016

Picha: Naibu Spika, wabunge wakicheza mziki kwenye show ya Lady Jaydee Dodoma

Naibu Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, wikiendi iliyomalizika aliunga wabunge wengine pamoja wapenzi wa muziki kwenye show ya Lady Jaydee ya Naamka Tena Tour mjini Dodoma.

Show hiyo ilifanyika kwenye ukumbi wa Royal Village huku pia Mkuu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa, Alvaro Rodriguez akihudhuria.






 Mbunge wa Afrika Mashariki, Shyrose Bhanji akizungumza na Alvaro Rodriguez

Kwenye show hiyo Lady Jaydee alitumbuiza pamoja na bendi yake.





 Lady Jaydee akiwa kazini







google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us