DIAMOND PLATINUMS NA ALI KIBA USO KWA USO,SASA WASHINDANISWA TUZO HII 2016 | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Wednesday, August 24, 2016

DIAMOND PLATINUMS NA ALI KIBA USO KWA USO,SASA WASHINDANISWA TUZO HII 2016


Diamond Platnumz na Alikiba watachuana mwaka huu kuwania kipengele cha Best Male Eastern Africa kwenye tuzo za All Africa Music [Awards] 2016 za nchini Nigeria.
Waandaji wa tuzo hizo wametoa orodha ya kwanza ya wasanii wanaowania mwaka huu.

Diamond na Kiba wana upinzani pia kutoka kwa Bebe Cool, Eddy Kenzo, Jose Chameleone na Navio wa Uganda. Hata hivyo hakuna msanii wa Tanzania aliyetajwa kwenye kipengele hicho upande wa wanawake.

Tuzo hizo zitatolewa mwezi November jijini Lagos, Nigeria.

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us