Rais Uhuru Kenyatta awaita wageni wake 'Wezi' | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Wednesday, August 10, 2016

Rais Uhuru Kenyatta awaita wageni wake 'Wezi'

 Rais Uhuru Kenyatta amejulikana kwa maoni yake hasa yanayowahusu wafisadi serikalini.

Katika mkutano ulioandaliwa katika ikulu ya Rais, Rais Kenyatta alisema kuwa kulikuwa na wezi kati yao.

Aitha, Rais Kenyatta alimpa changamoto Mkurugenzi mtendaji wa mamlaka ya Bandari nchini Catherine Mturi, na kumsihi kulishughulikia swala la ufisadi katika bandani Pwani.

 “Ufisadi upo hata katika bandari yetu Pwani, lishughulikie swala hilo. Tushirikiane ili tujue mwizi ni yupi kati yetu,” Amesema.

Aitha, Rais Kenyatta alikiri kuwa kuna wengi serikalini walio na njia za kuwaibia wananchi.




google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us