Wanawake 2 wakiri kufanya mapenzi na wanaume 355,000 | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Wednesday, August 10, 2016

Wanawake 2 wakiri kufanya mapenzi na wanaume 355,000

Wanawake wawili (pacha) walio na miaka sabini na nne wameeleza kuhusu maisha yao na kazi yao ya Ukahaba.

Louise na Martine Fokkens wameeleza kuwa wamefanya kazi ya ukahaba kwa miaka 50 na kufanya mapenzi na zaidi ya wanaume 355,000!

“Hatukuwa na pesa, marafiki wa mume wangu ndio waliosema kuwa ingekuwa njia bora ya kupata pesa, ikabidi nijaribu. Wazazi wetu hawakuipenda hiyo kazi, ijapokuwa walikubali baadaye,” ameeleza Louise.

Dadake, Martine amesema kuwa alianza kuwa mfanyakazi wa kawaida tu katika danguro kabla ya kujiunga na dadake kama Kahaba.

“Sikuamini niliposikia kuwa dadangu alikuwa ameamua kuwa kahaba lakini baada ya muda, nilikubali tu,” amesema.


Wawili hao wanasemekana kuzindua muungano wa makahaba katika nchi yao.

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us