Gigy na madai ya kutumia unga, bangi | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Sunday, March 13, 2016

Gigy na madai ya kutumia unga, bangi


GIGY (2)
MUUZA nyago gumzo Bongo kutokana na matukio yake, Gift Stanford ‘Gigy Money’ amedaiwa kuwa anatumia unga na kuvuta bangi ndiyo maana amekuwa
akifanya vituko visivyoweza kufanywa na mwanamke anayejitambua.
Licha ya tabia yake ya kupiga picha za nusu utupu, kuropoka maneno yasiyo na staha, juzikati ilivuja video yake aliyojirekodi akivua nguo kabisaa, hali iliyowafanya wengi kuhisi ‘anapuliza moshi na kula sembe’.
Akifungukia madai hayo, Gigy alisema: “Hawajui tu akili zangu zikoje maana situmii hivyo vitu kabisa, huwa nafanya mambo mengi ya ajabu nikiwa mzima, kilevi ninachotumia ni pombe tu.

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us