Hatimaye Ciara achumbiwa | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Sunday, March 13, 2016

Hatimaye Ciara achumbiwa



ciara-russell-wilson-engagement
Ciara akiwa na mchumba wake, Rusell.
STAA wa muziki wa Pop, Ciara ametangaza rasmi kuchumbiwa na mchumba wake ambaye pia ni mchezaji wa NFL. Russell Wilson.

Ciara
Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Ciara ambaye ni mama wa mtoto mmoja, Zahir aliyezaa na staa wa Hip Hop, Future aliandika.
“Najihisi nimekalika!.”
Awali Ciara alishawahi kubanjuka kimapenzi na mastaa kibao wakiwemo Lil Bow Wow na 50 Cent.

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us