Mirror, Baraka wafunika Maisha Basement | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Monday, March 14, 2016

Mirror, Baraka wafunika Maisha Basement


IMG_0347
IMG_0343
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Mirror akifanya yake ndani ya Maisha Basement usiku wa kuamka leo katika shoo ya Naogopa Tour.

IMG_0379
Baraka Da Prince (kushoto) na Mirror wakiimba wimbo wao mpya wa ‘Naogopa’.
IMG_0361
Mashabiki wakipata burudani ndani ya Maisha Basement.
IMG_0387
IMG_0397
Mwana – FA akiongea jambo na mashabiki.IMG_0380
Msanii wa Bongo Fleva, Mo Music, akiimba wimbo wake mpya wa Skendo.
IMG_0407
Msanii wa Bongo Fleva, Ali Kiba, akiwasalimia mashabiki.
IMG_0400
Barnaba Boy akifanya yake na mashabiki wake.
IMG_0442
Baraka akimlisha keki Wema Sepetu.
IMG_0448
…Akimlisha keki Ali Kiba.
IMG_0451
…Akimlisha keki Ommy Dimpoz.
IMG_0458
Barnaba Boy naye akipata keki.
IMG_0465
Meneja wa Burudani Maisha Basement, Hemed Kavu, HK (kulia) akilishwa keki.
IMG_0462
Mirror (kulia) akimwagia maji Baraka Da Prince.
IMG_0371
Mashabiki wakiendelea kupata burudani kutoka kwa wasanii mbalimbali (hawapo pichani) ndani ya Maisha Basement.
JUMAPILI ya jana mastaa kibao wa muziki wa Bongo Fleva walihudhuria sherehe ya kuzaliwa kwa msanii Baraka Da Prince na Mwana-FA iliyofanyika katika Ukumbi wa Maisha Basement ulipo Kijitonyama jijini Dar.
Sherehe hiyo ilipambwa na burudani kutoka kwa wasanii Mirror, Mo Music, Ali Kiba, T.I.D, Ommy Dimpoz, Barnaba Boy na wengine kibao sambamba na burudani ya nguvu kutoka kwa DJ Ommy Craizy, Ally B na Tass

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us