Nani ‘Anambemenda’ Nani? | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Monday, March 14, 2016

Nani ‘Anambemenda’ Nani?


dee n zee
Diamond na Zari Zarinah Hassan ‘The Boss Lady’ mwenye umri wa miaka 35 anatoka na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ mwenye umri wa miaka 26


Neno ‘kubemenda’ siku hizi limekuwa ‘komoni’ Bongo kwa baadhi ya mastaa wanaotoka kimapenzi lakini wanapishana umri hasa inapotokea staa wa kiume ana umri mdogo na anatoka na wa kike mwenye umri mkubwa, japokuwa baadhi yao wanaamini kuwa mapenzi hayana macho ya kuona umri.
Katika makala haya utapata kujua nani ‘anambemenda’ mwenziye kati ya mastaa hawa wa muziki na filamu;

SHILOLE34-1Nedy na shilole
Zuwena Mohammed ‘Shilole’ mwenye umri wa miaka 30, anatoka na msanii chipukizi wa Bongo Fleva, Nedy Music mwenye umri wa miaka 20, hivyo Shishi Baby anadaiwa kumbemenda dogo huyo.
Kajala-na-QuickQuick Rocka na Kajala
Kajala Masanja mwenye umri wa miaka 33, anadaiwa kutoka na Quick Rocka ambaye ana miaka 28, ikiwa ni wazi kuwa Kajala anamzidi jamaa huyo umri.
vee na ju
Jux na Vannessa mdee
Vanessa Mdee ‘V-Money’ mwenye umri wa miaka 28 anasemekana kuwa anatoka na Juma Khalid ‘Jux’ ambaye naye ana umri wa miaka 28 lakini Vanessa anadaiwa kumzidi kwa miezi kadhaa.
aunty33
Aunt Ezekiel na Iyobo
Aunt Ezekiel Grayson mwenye umri wa miaka 29 anadaiwa anambemenda mzazi mwenziye Mose Iyobo mwenye umri wa miaka 23.
nm
Riyama na Mysterio
Riyama Ally ana umri wa miaka 30 lakini anadaiwa kuwa anatoka na Leo Mysterio mwenye umri wa miaka 26.

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us