Diamond afurahi Instagram kumwongezea Dakika za Kuposti Video zake. | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Friday, April 01, 2016

Diamond afurahi Instagram kumwongezea Dakika za Kuposti Video zake.

Image result for diamond platnumz

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva nchini, Nassib Abdul ‘Diamond’ pamoja na watumiaji wengine wa mtandao wa Instagram wameonekana kufurahia kuongezewa nafasi ya kuweka video katika mtandao huo kutoka sekunde 15 hadi 60.

Diamond na watu wengine walituma baadhi ya video zenye urefu wa muda ulioongezwa kama ishara ya kufurahia ukubwa huo ulioongezwa kwenye mtandao huo wenye watumiaji zaidi ya milioni 400 duniani kote.

“From 15 seconds to 1 minute’ mwee! Asante instagram kwa kutuongezea urefu wa hizi ‘clip’ tujinafasi,” aliandika Diamond kwenye video aliyoituma akiwa na mtoto wake kwenye kifaa cha kubeba mtoto akiwa anavutwa

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us