Ruby na skendo ya kujaladia makalio | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Friday, April 01, 2016

Ruby na skendo ya kujaladia makalio


ruby

MWANADADA anayesumbua kwenye gemu, Hellen George ‘Ruby’
amesema wale wanaodhani kila akipanda jukwaani kile ‘kijungu’ kinachoonekana ni cha kujaladia, wamebugi.
Ruby alisema, yeye alivyo anajikubali na wala hawezi kusumbuka kutafuta makalio feki kwani kufanya hivyo ni kupoteza muda wake bure.
“Hao wanaosema najaladia makalio wamekosa la kuongea, mimi siyo mtu wa mambo hayo, najikubali sana kwa jinsi nilivyoumbwa, naanzaje sasa kujiongezea shepu hewa,” alisema Ruby

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us