Diamond platnumz na Huu ndio ukweli wake kuhusu Mjengo Maana anaoumiliki South Africa na Marekani.. | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Wednesday, April 13, 2016

Diamond platnumz na Huu ndio ukweli wake kuhusu Mjengo Maana anaoumiliki South Africa na Marekani..



.Baada ya kumaliza tour yake ya muziki Bara la ulaya na kurudi,
Msanii anayefanya vizuri kitaifa na kimataifa na kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania, Nassib abdul maarufu kama Diamond platnumz,
Ameweka wazi mambo mbalimbali kuhusu
yeye na muziki wake kwa ujumla,kati ya hayo aliulizwa na kituo cha Redio  cha East Africa radio kupitia kipindi cha Planet bongo kuhusu mpango wa kumiliki  mjengo au nyumba marekani kama wasanii wengine wa Afrika wanavyofanya, aliweka wazi haya



“Nna nyumba South Africa kwa sababu nina familia South Africa kwa hiyo ni lazima ninunue nyumba south Africa, lakini sina sababu ya kusema ninunue nyumba Marekani, ninunue nyumba Marekani kwa sababu gani, kwanza sipapendi, uongozi unajua kabisa”, alisema Diamond


Pamoja na hayo DIAMOND PLATNUMZ aliweka wazi kuhusu yeye kumiliki nyumba Marekani kama wasanii mbalimbali wa Afrika wanavyofanya aliongeza kwa kusema haya,...


         “Nyumba sio hela nyingi dola laki mbili kama milioni mia nne unanunua nyumba, so ni matakwa ya mtu mwenyewe, sasa usitake kununua nyumba Marekani wakati trip zako za kwenda Marekani ni chache, usitake kuonekana tu una mashauzi, mara kumi milioni 500 ukanunua nyumba pale Tandale karibuni 10 ukapost nna kijiji Tandale ukazipangisha ukaingiza hela kuliko Marekani”, alisema Diamond.


Watoto wa Zari wakimpokea mdogo wao tiffa Dangote.

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us