Mtu mrefu kuliko wote Duniani aitembelea Mauritius | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Wednesday, April 13, 2016

Mtu mrefu kuliko wote Duniani aitembelea Mauritius


Mtu mrefu zaidi duniani raia wa Uturuki Sultan Kösen aliye na urefu wa futi 8 na inchi 3 au mita 2.51 amewasilia nchini Mauritius jana asubuhi.

Sultan alilakiwa na umati katika kisiwa hicho cha bahari ya Hindi, kwa mujibu wa taarifa zilizowekwa kwenye ukusara wa facebook wa mtandao wa habari wa nchi hiyo.




Sultan mara ya kwanza alitajwa kuwa mtu mrefu zaidi duniani mwaka 2009 wakati alitimia urefu wa futi 8 na inchi moja mwaka 2009.

Akiongea wakati aliingia kwenye rekodi ya kitabu cha Guinness World Records alismea," Singetarajia ningekuwa kwenye kitabu hicho, nikuwa na ndoto lakini bado ulikuwa ni mshangao mkubwa.

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us