TETESI:Anne Kilango Kupangiwa Kazi Nzuri zaidi ya Ukuu wa Mkoa Aliyofukuzwa. | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Wednesday, April 13, 2016

TETESI:Anne Kilango Kupangiwa Kazi Nzuri zaidi ya Ukuu wa Mkoa Aliyofukuzwa.


Mh Anne Kilango Maleccela anasubiri kupangiwa kazi nyingine na Rais Dr Magufuli na huenda akapangiwa kazi nzuri zaidi ya kazi yake ya awali ya Ukuu wa Mkoa.

Kuna baadhi ya taarifa zinasema kwamba huenda akateuliwa kuwa balozi katika mojawapo ya nchi za ng’ambo.

Ofisa mmoja wa Ikulu ambaye hakupenda kutajwa jina lake alinukuliwa akisema kuwa “Rais Magufuli anajiandaa kumpangia Kilango kazi nyingine na kuna uwezekano mkubwa akateuliwa kuwa balozi katika nchi za Ulaya, Marekani au Asia”, alisema.

CHANZO: Gazeti la ZANZIBAR YETU

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us