Idris Sultan Wanaosema Sina Kazi Wanakosea...' Kuwa Kwenye Mitandao ya Kijamii Kwangu ni Kazi | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Saturday, April 16, 2016

Idris Sultan Wanaosema Sina Kazi Wanakosea...' Kuwa Kwenye Mitandao ya Kijamii Kwangu ni Kazi


Mchekeshaji maarufu nchini Idris Sultan amesema kwamba wanaosema hana kazi na anazurura tuu kwenye mitandao ya kijamii wanakosea kwa sababu yeye ni msanii.

Idris amefunguka hayo alipokuwa akihojiwa na mtangazaji Salama Jabir katika kipindi cha Mkasi Tv Show kinachotushwa na EATV.

''Mimi ni 'Celebrity' na kwangu kuwa kwenye mitandao ya kijamii kwangu ni kazi kwa sababu siwezi kufanya 'interview' na vyombo vya habari kila siku''-Amesema Idris.

Aidha Msanii huyo pamoja na mambo mengine amefunguka kwamba bado hajaoa na wala hana mtoto.

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us