VIDEO;Majipu Yaliyotumbuliwa Kwa Mbwembwe Yarudishwa Kimya Kimya. | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Saturday, April 16, 2016

VIDEO;Majipu Yaliyotumbuliwa Kwa Mbwembwe Yarudishwa Kimya Kimya.




 

Yule aliyesema kwamba serikali inaendesha mambo yake kwa mizuka kweli hajakosea.

Upo uthibitisho kwamba watu ambao wamekuwa wakisimamishwa ama kufukuzwa kazi na serikali kwa mbwembwe za kwenye vyombo vya habari wameanza kurudishwa kazini.
Kundi hili linawakilishwa na mkurugenzi wa michezo ambaye kuanzia wiki iliyopita yuko kazini akiendelea na kazi zake kama kawaida japo Uma haujataarifiwa juu ya uamuzi huo.

Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigoma ujiji alitumbuliwa na kurudishwa kimya kimya

Aliyekuwa RAS wa Mwanza Dr Feisal alitumbuliwa kwa mbwembwe nyingi yuko pale Tamisemi amechili tu anakula mshahara
Pia yuko jamaa yake Simbachawene ambaye ni mkurugenzi wa Manispaa ya Ilemela anaitwa John Wanga alitumbuliwa na Naibu Waziri Jafo halafu akarudishwa kimya kimya na aliporudi akahamisha watumishi nane waliomchoma kwenda kwenye shule za kata. Hapa waliokuwa na uchungu na nchi yao kwa kuibua ufisadi ndio wameadhibiwa.
Angalia Video Kutoka TAZARA: Uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya juu (Flyover)
 

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us