Wana miaka 117 na bado wanadunda! | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Saturday, April 16, 2016

Wana miaka 117 na bado wanadunda!



Susannah Mushatt  sasa ana umri wa miaka 117392999-49a6c0a4-5a3e-11e3-b7ab-c407036b0b36Emma Morano sasa ana umri wa miaka 117.
Duh! Hawa ndiyo vikongwe ambao wamebainika kuzaliwa miaka ya 1800 na wanaendelea kuishi kama kawa.
Susannah Mushatt kutoka Marekani, alizaliwa Julai, 1899, kwa sasa ana umri wa miaka 117 huku ajuza mwingine ni Muitaliano, Emma Morano aliyezaliwa Septemba, 1899 ambaye naye kwa sasa ana umri wa miaka 117.
Wote wameingia katika Kitabu cha Kumbukumbu cha Dunia cha Guinness kwa kuwa ndiyo vikongwe walio hai mpaka sasa.
Hata hivyo, ajuza mwingine ambaye aliwahi kuishi miaka mingi ni Jeanne Calment, raia wa Ufaransa aliyezaliwa mwaka 1875 na alifariki dunia mwaka 1997 akiwa na miaka 122

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us