TAHADHARI KUBWA!!!!!Kuna Mvua kubwa inashuka, taarifa imetolewa na mamlaka husika. | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Tuesday, April 26, 2016

TAHADHARI KUBWA!!!!!Kuna Mvua kubwa inashuka, taarifa imetolewa na mamlaka husika.


April 26 2016 Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania imetoa taarifa  kwa umma ya kuwepo kwa mvua kubwa na upepo mkali, taarifa hiyo ya mamlaka ya hali ya hewa imetaja maeneo yatakayoathirika kuwa ni pamoja na Tanga, Dar es salaam, Pwani, Morogoro, Lindi na Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba ambapo mvua hizo zinatarajiwa kusambaa katika maeneo ya mikoa ya Kilimanjaro na mashariki mwa Manyara.
IMG-20160426-WA0017

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us