PICHA 8: Wabunge walivyoamriwa kutoka bungeni baada ya kufukuzwa kwa wanafunzi UDOM | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Monday, May 30, 2016

PICHA 8: Wabunge walivyoamriwa kutoka bungeni baada ya kufukuzwa kwa wanafunzi UDOM

Naibu Spika Tulia Ackson ameamuru Wabunge kutolewa nje ya bunge baada ya baadhi ya Wabunge hao kusimama kupinga kitendo cha bunge kakataa kujadili suala la Serikali kuwataka wanafunzi wa UDOM kurudi kwao ndani ya saa 24 kufuatia mgomo wa Walimu unaoendelea kwa sasa.
AW1A0974
Baadhi ya wabunge wakionekana kujadili jambo
AW1A0973
AW1A0917
Mbunge wa Chemba Juma Nkamia alivyosimama kuainzisha hoja hiyo
AW1A0956
Mbunge wa Arumeru Joshua Nassari akifafanua zaidi
AW1A0959
Baadhi ya wabunge wakitoka nje
AW1A0960
AW1A0987
AW1A0986
AW1A0984

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us