Taarifa ya ACT- Wazalendo Kuhusu Kupotea Kwa Zitto Kabwe Tangu Jana Jioni | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Monday, June 13, 2016

Taarifa ya ACT- Wazalendo Kuhusu Kupotea Kwa Zitto Kabwe Tangu Jana Jioni


TAARIFA KWA UMMA

Tunaujulisha UMMA kwamba Kiongozi wa Chama chetu cha ACT Wazalendo ndg. Zitto Kabwe amekuwa anatafutwa na Polisi tangu jana usiku.

Mpaka sasa hatujui Kiongozi wetu yupo wapi na yupo kwenye Hali gani. Askari kanzu wanalinda nyumbani kwake na kwa watu wake wa karibu. 

Sisi kama chama tunaliambia jeshi la Polisi kuwa lolote litakalotokea kwa Kiongozi wetu wao watajibu kwa umma.

 

Msafiri Mtemelwa, 
Kaimu Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us