BAADA YA BASATA KUUFUNGIA WIMBO WA NEY WA MITEGO,DIVA WA CLOUDS FM ATOKWA NA 'POVU' HILI..!!! | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Saturday, July 16, 2016

BAADA YA BASATA KUUFUNGIA WIMBO WA NEY WA MITEGO,DIVA WA CLOUDS FM ATOKWA NA 'POVU' HILI..!!!


Katika kile kinachoonekana kuchukizwa na maamuzi ya BASATA ya kuufungia wimbo mpya wa Ney wa Mitego,Diva wa kipindi cha Ala za Roho kinachoruka hewani na kituo cha Clouds Fm,Loveness Love ameibuka na kunena mazito juu ya BASATA.

BASATA ambao wanahusika na kusimamaia kazi za sanaa nchini wameufungia wimbo wa mpya wa Ney wa Mitego kwa kile kilichoelezwa kuwa ni kukiuka maadili ya kitanzania.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter,Diva amesema kuwa BASATA inafaa ifumuliwe ili wawekwe vijana ambao wanapenda mziki wa Bongo Fleva na io wazee ambao wao waapenda nyimbo za MSONGO NGOMA.

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us