Fundi adondoka toka ghorofa ya sita mtaa wa Pemba jijini Dar es Salaam | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Saturday, July 16, 2016

Fundi adondoka toka ghorofa ya sita mtaa wa Pemba jijini Dar es Salaam

Mfanyakazi ya ujenzi kwenye nyumba inayojengwa mtaa wa Pemba eneo la Kariakoo jijini Dar es salaam mchana wa leo amekimbizwa hospitali baada ya kudondoka kutoka ghorofa ya sita ya jengo hilo.
Haijajulikana bado sababu za kudondoka kwake nasi tunamwombea apate nafuu haraka.

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us