HATIMAYE MWEZI UMEONEKANA NA KESHO NI SIKUKUU YA EID EL FITRI KOTE DUNIANI | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Tuesday, July 05, 2016

HATIMAYE MWEZI UMEONEKANA NA KESHO NI SIKUKUU YA EID EL FITRI KOTE DUNIANI

 MUFTI mkuu wa  Tanzania ametangaza rasmi kwamba kesho ni sikukuu ya Eid el fitri kwa Mujibu wa dini ya kiislamu,hii imekuja baada ya mwezi kuandama na kuonekana katika Maeneo mbalimbali ndani na nje ya nchi ya Tanzania, na hivyo kuhitimisha mfungo wa Mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa mwaka huu.

>>>UONGOZI WA KINGAZI MEDIA GROUP TUNAWATAKIENI SIKUKUU NJEMA YA EID EL FITRI MSHEREHEKEE KWA AMANI NA UTULIVU<<<

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us