PICHA 10: Mabasi mawili yagongana leo na kusababisha vifo Singida | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Tuesday, July 05, 2016

PICHA 10: Mabasi mawili yagongana leo na kusababisha vifo Singida

Taarifa za awali ambazo zimeripotiwa hivi punde ni kuhusu ajali iliyohusisha mabasi mawili, Kamanda polisi mkoa wa Singida, Thobias Sedoyeka amesema ajali ya basi namba T 531 BCE likitokea Dar es salaam kwenda Kahama na T 247 lililokuwa linatoka kahama kwenda Dar es salaam yote ya kampuni moja ya City Boys yamegongana uso kwa uso na kusababisha vifo vya watu 24 papo hapo na wengine kadhaa kujeruhiwa.
IMG-20160704-WA0027
.
IMG-20160704-WA0026 IMG-20160704-WA0028 IMG-20160704-WA0029 IMG-20160704-WA0031 IMG-20160704-WA0033 IMG-20160704-WA0036
IMG-20160704-WA0038MILLARD AYO

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us