PICHA NA VIDEO:KOCHA MPYA WA MAN U JOSE MAURINHO ALIVYOTAMBULISWA LEO. | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Tuesday, July 05, 2016

PICHA NA VIDEO:KOCHA MPYA WA MAN U JOSE MAURINHO ALIVYOTAMBULISWA LEO.


Baada ya Man City kumtambulisha Pep Gurdiola Etihad, leo July 5 2016 uongozi wa klabu ya Man United ya England walimtambulisha rasmi kocha wao Jose Mourinho Old TraffordMourinho ametambulishwa na kuongea vitu vingi katika press conference, ikiwemo kusikitishwa kwake kwa Man United kukosa mechi za Ligi ya Mabingwa Ulaya.
35F79E5000000578-3674838-Jose_Mourinho_is_officially_unveiled_as-a-26_1467713662325
Jose Mourinho ametambulishwa Man United na kufanya mkutano na waandishi wa habari kwa mara ya kwanza, katika mkutano wake wa kwanza na waandishi wa habariMourinho kaongea vitu vingi ikiwemo kutoa kauli zake ambazo zimetafsirika kama kejeli kwa kocha wa Arsenal Arsene Wenger kwa kukosa Ubingwa kwa miaka mingi.
35F7B7B100000578-3674838-image-m-33_1467715946398
“Hata hivyo siwezi kuficha kusikitishwa kwangu na Man United kukosekana katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, naimani ni kwa msimu mmoja tu ndio tutakuwa hatushiriki michuano hiyo ila hadi July 2017 tutalazimika kuhakikisha tunashiriki michuano hiyo”
35F77C1E00000578-3674838-image-a-1_1467712762073
VIDEO YA PRESS CONFERENCE YA JOSE MOURINHO MAN UNITED
MILLARD AYO

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us