BREAKING NEWS;CCM YASHINDA TENA UCHAGUZI ZANZIBAR. | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Monday, March 21, 2016

BREAKING NEWS;CCM YASHINDA TENA UCHAGUZI ZANZIBAR.



Tume ya taifa ya uchaguzi zanzibar kupitia mwenyekiti wake Jecha Salim Jecha, imetangaza matokeo  ya uchaguzi mkuu uliofanyika tar 20 march,huku mgombea wa urais kupitia chama cha
mapinduzi,Dr.ally Mohammed shein akiibuka kidedea kwa kuchaguliwa tena kuwa rais mteule wa zanzibar kwa awamu nyingine ya miaka mitano.kwa asilimia 91.4,pia mgombea wa ADC akishika nafasi ya pili.
 Ushindi huo umekuja baada ya mgombea huyo kuwashinda wagombea wenzake kumi na mbili waliokuwa wakiwania kiti hicho cha urais wa zanzibar.
Baada ya kutangazwa kuwa mshindi, Rais mteule wa zanzibar Dr.Shein amewashukuru wananchi wa zanzibar kwa kuweza kumpa nafasi ya kuwa rais kwa awamu nyingine kwa miaka mitano, na kuendesha uchaguzi kwa utulivu na amani,huku akiwaahidi wananchi wa zanzibar kuboresha uchumi na maendeleo ya zanzibar kwa miaka mitano ijayo.

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us