BREAKING NEWS; Matokeo ya UCHAGUZI yaanza kutangazwa ZANZIBAR | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Monday, March 21, 2016

BREAKING NEWS; Matokeo ya UCHAGUZI yaanza kutangazwa ZANZIBAR

Image result for breaking news
Zoezi la kujumuisha kura katoka vituo mbalimbali katika wilaya ya CHAKECHAKE kisiwani PEMBA, limeendelea kwa usiku mzima huku matokeo ya viti vya uwakilishi pamoja na UDIWANI
Matokeo ya UCHAGUZI yaanza kutangazwa ZANZIBAR
Zoezi la kujumuisha kura katoka vituo mbalimbali katika wilaya ya CHAKECHAKE kisiwani PEMBA, limeendelea kwa usiku mzima  huku matokeo ya viti vya uwakilishi pamoja na UDIWANI yakitarajiwa kukamilika kuanzia asubuhi ya leo  JUMATATU.
       
Zoezi hilo limefanyika katika shule ya sekondari MADUNGU wilayani CHAKE, huku mgombea wa kiti cha Uwakilishi jimbo la ZIWANI kupitia chama cha Mapinduzi-CCM, SLEIMAN MAKAME ALLY akiwa wa kwanza kutangazwa mshindi wa jimbo hilo kwa kupata kura 2789 kati ya kura 3544 zilizopigwa.

 Mgombea  wa uwakilishi jimbo la ZIWANI kupitia CCM akatangazwa mshindi

 Matokea ya wagombea wengine yalikuwa yakiendelea kutolewa kadiri muda unavyokwenda mpaka pale yatakapokamilika isipokuwa yale ya urais ambayo yatatangzwa na mwenyekiti wa tume ya uchaguzi ZANZIBAR-ZEC.


google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us