Walioshambulia Ufaransa na Brussels kupewa hukumu ya kifo. | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Sunday, March 27, 2016

Walioshambulia Ufaransa na Brussels kupewa hukumu ya kifo.

Maafisa wa polisi nchini Ubelgiji
Rais wa Ufaransa, Francois Hollande, amesema kuwa kundi la Waislamu wenye itikadi kali walioshambulia Ufaransa mwaka uliopita na mashambulizi ya juma lililopita ya Brussels wanaendelea kuangamizwa.
Alisema Serikali za Ufaransa na Ubelgiji zimefaulu kupata wanakojificha wengi wa wapiganaji hao na kuwatia mbaroni.

Hata hivyo, Rais Hollande, alisema kundi hilo bado ni tishio kwa wakaazi wa Ulaya.

 
Washukiwa wa mlipuko katika uwanja wa ndege
Maafisa wa polisi wa Ubelgiji wamewapiga risasi na kuwajeruhi washukiwa wawili katika oparesheni ya hivi karibuni.
Picha za video zinaonyesha maafisa wa usalama waliojihami na kujifunika kikamilifu wakiwa wamemlenga mwanamume mmoja aliyekuwa amejeruhiwa kabla ya kumkokota kwa miguu yake.

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us