Harmonize 'Sijamtukana DJ K Flip' , Hiki Ndicho Kilichotokea Hadi Kuzima Mziki Katikati ya Show | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Tuesday, April 19, 2016

Harmonize 'Sijamtukana DJ K Flip' , Hiki Ndicho Kilichotokea Hadi Kuzima Mziki Katikati ya Show

DOWNLOAD APP YA TANZANIAMPYASASA HAPA BOFYA HAPA


Msanii wa lebel ya WCB 'Harmonize' amefunguka kuhusu tuhuma za kumtukana Dj K Flip kwenye show mjini Mwanza.

Harmonize alisema
“Kwanza nategemea sana maDJ kwenye kazi yangu na siwezi fanya kitendo kama hicho, nilikuwa nafanya show na nikawaambia watu kuhusu ujio wa Diamond Mwanza hivi karibuni na kuwataka waimbe na mimi akapela, nikamwambia DJ azime mziki sababu utazingua, DJ hakunielewa akakasirika na kushuka chini, ila nilimfuata na kuongea naye na show ikaendelea”.

Aidha Harmonize amemalizia kwa kusema kuwa kwa sasa matatizo yake DJ K Flip wameyamaliza na wapo poa.

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us