KUTANA NA MWANAMKE ALIYEAMUA KUJIOA MWENYEWE BAADA YA KUKOSA MCHUMBA WA KUMUOA. | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Tuesday, April 19, 2016

KUTANA NA MWANAMKE ALIYEAMUA KUJIOA MWENYEWE BAADA YA KUKOSA MCHUMBA WA KUMUOA.

 
YASMIN ELEBY AKIWA NA FURAHA SIKU YA HARUSI YAKE (kulia) AKIKATA KEKI.


,Mwanamke mmoja anayeitwa yasmin Eleby hakubahatika kupata mchumba wa kumuoa ambaye alihitaji kuwa mume wake mpaka alipofikisha umri wa miaka arobaini.ndipo alipoamua kufanya jambo lililowashangaza wengi pale alipoamua kujioa mwenyewe.


Kwa mujibu wa mtandao wa MySonAntonio Yasmin aliahidi kwamba endapo atafikisha miaka   40 bila kufunga  ndoa basi ataamua kufunga ndoa ya mtu mmoja ili asherekee miaka 40

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us