PICHA 10: Hadi kufikia March 2016 hivi ndivyo vinatajwa kuwa Viwanja 10 bora vya ndege Duniani | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Tuesday, April 19, 2016

PICHA 10: Hadi kufikia March 2016 hivi ndivyo vinatajwa kuwa Viwanja 10 bora vya ndege Duniani


Kwa mwaka wa nne mfululizo uwanja wa Ndege wa Singapore Changi  umekuwa ndio uwanja wa ndege bora zaidi duniani ukishika nafasi ya kwanza na ulichukua tuzo za SkyTrax World Airport Awards 2016 ambapo ulitangazwa huko Gologne Germany, Tuzo za Skytrax zinategemea kura zinazokusanywa kutoka kwa mamillioni ya abiria.

List ya Top 10 ya viwanja bora vya Ndege  Duniani  2016

1. Singapore Changi Airport
1
2. Incheon International Airport (South Korea)
2
3. Munich Airport (Germany)
OLYMPUS DIGITAL CAMERA
4. Tokyo International Airport Haneda
4
5. Hong Kong International Airport
5
6. Chubu Centrair International Airport (Nagoya, Japan)
6
7. Zurich Airport (Switzerland)
7
8. London Heathrow Airport
8
9. Kansai International Airport (Osaka, Japan)
9
10. Hamad International Airport (Doha, Qatar)
10SOURCE MILLARD AYO.COM

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us