OMMY DIMPOZ AJIKITA KWENYE KILIMO BAADA YA GAME KUWA NGUMU. | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Tuesday, April 19, 2016

OMMY DIMPOZ AJIKITA KWENYE KILIMO BAADA YA GAME KUWA NGUMU.

DOWNLOAD APPLICATION YA TANZANIAMPYASASA HAPA

 12965888_222618848093998_1469943721_nZamani ilijulikana kama kilimo ni shughuli ya watu wa hali ya chini au watu maalumu tu. Hii imekuwa tofauti kwa mwanamuziki Ommy dimpoz ambaye kwa sasa ameamua kujikita katika kilimo cha mazao mbalimbali, hii ilidhihirishwa juzi baadfa ya kupiga picha akiwa kwenye shamba l;ake huku akiweka Emoji za za matunda kwenye picha hizo alizozituma kwenye Mtandao wa Instagramu.Wasanii wengine wanaojihusiha na kilimo ni Ditto,Masanja mkandamizaji na pia Juma Nature.

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us